Mangimeli JF-Expert Member Sep 15, 2011 1,151 286 May 5, 2016 #1 Wakuu, Naulizia ni sehemu gani naweza pata kioo cha simu aina ya LG G3, nipo Dar maeneo ya Kijitonyama.
Wakuu, Naulizia ni sehemu gani naweza pata kioo cha simu aina ya LG G3, nipo Dar maeneo ya Kijitonyama.
Fuga Kisasa Senior Member Jan 16, 2016 165 91 May 5, 2016 #2 Kama upo serious nicheki inbox nikuagizie. Ndani ya siku kumi kitakuwa hapa