spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Ninauza mabati ya rangi kwa bei zilizoandikwa. Tunasafirisha hadi ulipo kwa Dar Es Salaam. Mikoani tunaweza kukutumia kwa Lori, Basi au Treni.
MKuu, umeshindwa nini kuweka hiyo bei.Ninauza mabati ya rangi kwa bei zilizoandikwa. Tunasafirisha hadi ulipo kwa Dar Es Salaam. Mikoani tunaweza kukutumia kwa Lori, Basi au Treni.
Haya sio mabati ya kawaida kweli??yaliyopakwa rangi
unaposema inch 10 unamanisha ?? kuna badi lenye kipimo inchi 10? naomba nijue zina upana gani na urefu gani, maana hauko wazi
hizi hazipungui bei ?Sky Blue, corrugated, geji 30, inchi 10, tshs. 22,000/=.