Salaam wadau..Anahitajika Secretary/office Manager.Ofisi ipo dar es salaam Upanga n inajihusisha na mambo ya sheria.Kazi kubwa ni
1.Kusafisha Ofisi
2.Kupokea wageni
3.Kuiangalia ofisi hasa...
Bei ni kuanzia 3.5 tunaelewana, used kwa miezi 4, haina tatizo lolote, unapewa na accesories zake. Kwa aliyeko dodoma namletea alipo check me 0712385672
Wajasiriamali habari. Nauza mashine mpya ya kukamulia juisi ya miwa. Mashine hii ni nzuri kwa maana ni ya mkono haitumii umeme hivyo kutokana na tatizo la umeme dar na tanzania kwa ujumla basi kwa...
Habari wana JF, nauza juice dispenser yenye mitungi miwili kila mtungi unauwezo wa lita kumi... Imetumika lakini Iko kwenye hali nzuri ina miezi 9 tangia inunuliwe... Anayehitaji ani PM au ni text...
Njoo nikuwekee ulinzi kwenye simu yako utakao kusaidia kuifanyia tracking kipindi inapotea...! Bila ya aliyeichukua kujua...! Tsh. 5,000 kwa sasa nafanyia simu za android tu...!
0655-659-115...
Photocopy machine aina ya canon ir2018 inauzwa kwa bei nafuu kabisa. Ni nzima na ndio inayotumika hapa ofisin kwa sasa. Nataka ninunue kubwa zaidi.
Kwa anaehitaji tuwasiliane: 0753985182
Habari waungwana wote!Ngoja kwanza nianze kwa kutoapole na mihangaiko ya kuzungusha gurudumu la maendeleo kwa wale wanaojitumakila kukicha kwa kutafuta riziki. Sio siri ya kwamba humu ndani wengi...
Wadau habari za Leo.
Natafuta fremu kwa ajiri ya butchery ya nyama Na samaki maeneo kati ya temeke, Kinondoni, mabibo, sinza au kurasini.
Number yangu 0769630209.
Habari wana bodi,
Naomba kujua ni wapi kwa DSM nitapata piki piki zenye matairi manne au matatu kwa ajili ya mizunguko yangu mjini....
Nataka ikiwa mpya au Used sio mbaya.....
(Picha...
Gauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, blauz,tyt, t shert, shati, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga namba 0712288700
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.