Nissan X Trail inauzwa

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
Make : Nissan

Model : X - trail

Mileage : 91,000 km

Engine size : 1990cc

Fuel : Gasoline/Petrol

Drive : four wheels drive (4WD)

Steering : Right

Transmission : Automatic

Ext. Color : Gray

Manufactured year/month : 2002/1

Door : 5

Seat : 5

FEATURES

Airbag *

Air conditioner *

Power Steering *

Power windows *

Rear Spoiler *

Alloy Wheels *

FOG HID


Price : $6370.98



BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;

Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌

ecarstanzania@gmail.com

Karibu!

IMG_20160505_200723.jpg


IMG_20160505_201508.jpg


IMG_20160505_201656.jpg


IMG_20160505_202409.jpg


IMG_20160505_202720.jpg
 
Hizi gari zina nafasi ya kutosha ndani na unywaji wake wa mafuta ni mzuri. Ila ikianza kuchemsha kidogo tu hapo ndio mwisho wa injini yake.
 
Actually, kila gari inamfumo wake wa engine na namna ya kuikarabati!

Hio nibsawa na wanaosema engine za d4 ni mbovu, kitu ambacho sicho kweli hata kidogo.

Kila kitu kinadumu kwa namna utavyokitunza na kukikarabati.

Hii ni sawa na kusema, watu wa europe, russian marekani etc wakija Tanzania, wakipata malaria tuu, wakaanza kuchemka mwili, basi ndio mwisho wa maisha yao, kwasababu mmoja ilimpata akafariki basi ukadhani ni wote!

Inategemea na tiba aliyoipata na kwamba haikutosheleza kutibu wingi wa vijidudu vilivyokua ndani yake, au dawa alizotumia hazikua sahihi, that's all!

Uncle wangu anamiliki nissan x -trail mpaka sasa ni mwaka wa tatu na nusu.

Na bado inatumika bila shida yeyote ile., na ni gari inatumika kila siku!

Kila kitu kina dumu kulingana na namna unavyokitunza na kukikarabati tu!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom