sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
wanajamvi habari ya hasubuh?
Natumai mu wazima wa afya, kutokana na ongezeko la uitaji nwa fedha kwa wajasiriamali wengi nchini, na pia kutokana uwepo wa mizengwe mingi, katika upatikanaji wa uduma ya kifedha kwa wajasiriamali wa ngazi mbar mbari nchini, sisi kama vijana wenye uzoefu wa kutosha katika utoaji wa uduma za kifedha nchini, tumeamua, kuwa tayari kuwasaidia, kuondoa mizengwe na kukutengenezea mazingira rafiki ya upatikanaji wa uduma ya kifedha kutoka kwenye mashirika ya kifedha nchini.
kwanza kwa kukushauri, kiasi unachoweza kukiomba kulingana na mzunguko wako kibiahsara, ili tumeona ni moja ya jambo ambalo Mabenki mengi uliangalia kabra ya kumpa mtu mkopo, lakini pia kulingana na target za maafsa wengi wa benki,na tamaa za wateja mara nyingine uperekea mteja kuwa overfinanced, jambo ambalo mwishowe uperekea mteja kushindwa kulipa mkopo.
kabra hatujakuunganisha na Benki yyte tunakupa ushauri wa kuepukana na hili mwanzoni kabsa.
Pili, multilple loan, kutokana na kitendo cha wateja wengi wa mabenki mengi nchini kupenda kukopa mikopo kutoka benki mbarmbari wakidhani ni moja ya njia ya kupiga atua kibiashara, sis kama wazoefu wa mambo ya kimikopo, tumeona ili nalo ni moja ya sababu ya watu wengi kushindwa kulipa vizuri na mwishowe kuishia kupoteza mali zao, na sasa tunatoa elimu nzuri kabsa jinsi ya kuepuakana na ili kwa kukuunganisha na Benk inayokidhi marengo yako na si kukupa fedha ambayo itakurazimisha ukakope kwngine na mwishowe ushindwe kulipa.
Dirvison of Loan, mniwie radh kwa kuchanganya lugha, ila ninalengo la kutaka wateja wangu wanielewe, kuwa malengo yanayokutuma ukaombe mkopo ni mhm kuyazngatia baada ya kuomba na lupata fedha, kufanya kinyume na hapo mwishowe huwa ni kushindwa kulipa mkopo.tunatoa elimu ya kibiashara ya kutosha ili kuepukana na adui, diversion.
Nidhamu ya mkopo(loan displine), kumekuwepo na ongezeko la wafanya biashara wano amini kuwa fedha za mikopo nyingi ni za FREEMASON, kira kukicha na chanzo ni kitendo cha zile fedha kutokukaa mikononi mwao. fedha ya mkpo ndugu yangu mfanya biashara si ya freemason ila adui mkubwa wa zile fedha ni misdispline tu na si vinginevo.tutakuelimisha kuhusu hili kiundani, pale tutakapo wasiliana.
UNDUGU NA FEDHA ZA MKOPO, nimelazimika sanaaaa, kuandika point hii kwa elfu kubwa ili nieleweke vyema, huyu pia ni adui najua watu wengi hasa mlio soma biashara ila nalizungumza ili kwa uzoefu wangu, wa kutoa mikopo kwa miaka mitano wateja wangu wengi walikumbwa na tatizo la kuwashirikisha ndugu zao katika biashara, paspo kuwambia hizo fedha za biashara zimetpka wapi?, ili nalo sisi tumeona ni tatzo na tunalitolea ufafanuzi mzuri sanaa, tafahdali sana
ndugu yetu mtazania mfanyabiashara, husiogope kukopa, kopa upige hatua, njoo tukuunganishe na wakopeshaji wenye nia nzuri.
Epuka, mikopo kutoka kwenye Mabenki ya kipigaji, mabenki ambayo hayapo tayari kukueleza ukweli wa RIBA, zao kwa mwezi, sisi tunakuunganisha na Benki, na kukuelza riba za benki tunayokuunganisha nayo, hacha kufanya biashara kimazoea, fanya Kielimu zaidi.
Tafadhali kwa maelezo zaidi, piga no hizi, au NPM ili tuyajenge zaidi na kuakikisha tunapiga atua.
pia tunatoa uduma ya jinsi ya kuanzisha HOUSING LOAN. katika microfinance na mabenki kwa ujumla.
+255744204368 AU,+0714074054.(Tafadhali, piga au tuma ujumbe mfupi).