Nyumba inauzwa m11 Chanika kwa Ngwale, Dar

dalalihalali

Member
Apr 28, 2016
15
3
Piga cm kwa maelezo zaid 0718388008 kutoka kwa lam nyumba ya nne

Nyuma ya mzee yusufu matofali Dar es salaam chanika kwa ngwale
UKubwa wa eneo ni17/17
Nyumba yakumalizia.
IMG-20160429-WA0006.jpg
IMG-20160429-WA0006.jpg
 
Nyumba au pagara hapo ww unaweza wekq kitanda na godoro na TV na friji ukaishi
 
Weka picha vizuri mkuu mbona picha 1 tu ?
halafu hebu tuambie nasikia chanika ujambazi ni tishio sana huko,
tuambie ukubwa wa uwanja uliobaki baada ya ujenzi,ndani ina room ngapi pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom