jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,017
Habari wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,natafuta mtu tutakae ingia nae makubaliano maalumu juu ya kuendeleza au kuuziana mzigo wa (nguo) na vifaa vya dukani kwa ambaye biashara ya duka imemshinda kwa namna moja ama nyingine.
Niko tayari kufanya makubaliano maalumu ya mauziano iwe kwa mjumbe,serikali za mitaa au hata polisi.
Kwa aliye tayari tuwasiliane pm tafadhali.