Makuburi101
Member
- Apr 22, 2016
- 10
- 17
Kuanzia kama ma $30(60000/-) hivi. Android and window phones.Swali lako ni general sana mkuu but kulijibu kwa ufupi ni kuwa simu zinazopendwa sana huku TZ ni zenye camera yenye pixel nyingi (above 5), kamera 2, watumiaji wengi ni marafiki na android Os... Ila how affordable is your price affordable?
Hii inakua tamu zaidi ikisindikizwa na bendera zake...USA baby.....
Kwa price hiyo utapata soko... Watz wengi wanapenda slope hasa tunao kaa huku uswahilini. Wakishua wana mbwembwe nyingi we lete. Na me ntakua customer wako namba moja.Kuanzia kama ma $30(60000/-) hivi. Android and window phones.
USA babyUSA baby.....
Jamani mi Nina swali, ni simu gani zinapendwa huko nyumbani? Nina mpango wa kuleta affordable phones but higher quality. Any ideas please.