Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafta laptop aina ya dell ,Ram 4gb n
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu Niko dar nanunua Kuku wa kisasa aina ya Broiler. From 200 mpka 1000. Kama unao nicheki kwa 0716927385.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwenye nayo ni pm mapema tumalize biashara Niko dar
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi natafuta natafuta mtu atakae niuzia mayai kwa bei ya jumla mayai ya kisasa nipo dar es salaam Tegeta. Namba zangu izo 0658936439,na 0682388102 napatikana whatsap pia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitaji magogo ya mkurungu kwa wingi sana kwahyo naitaji suppler awe na uwezo wa kuzalisha zaidi ya container 15 kwa mwezi specification length 9 feet width. 6 inch thickness 6 inch nipo dar ...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Gari ipo keko bora,Bei yake Ni mil 7.imetembea km 120,000,Ni 6 cyrinder haidaiwi hata mia. Kwa mawasiliano piga 0712 355025
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wana JF! Natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba viwili kimoja master ijiegemee maji na umeme iwe na fance.maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge,makongo juu au changanyike. Bei kuanzia 200000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je unahitaji mtu wa kufanya nae biashara? Supplier au Agent? Kama we ni mfanyabiashara na unatoa bidhaa nje ya nchi nicheck kwa number 0718375766 kwa mazungumzo zaidi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi Mwidadi M. Msangi...nimechaguliwa mmojawapo wa washindi wa shindano la kusanifu nembo ya mahakama ya rufaa Tanzania. Kupata logo(nembo) au ramani za nyumba tuwasiliane kupitia no 0752450273...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Brand new iRhoomba kifaa cha kufanya usafi ktk nyumba yako kama ilivyo vacuum cleaner isipokua yenyewe inasens uchafu ulipo, haianguki kwenye ngazi, unaiprogram ifanye usafi kwa siku, wiki, mwez...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo wanabodi, Kwa mtu binafsi au kampuni ambayo iko tayari kufanya bishara ya magogo au mbao na wachina kuna kampuni ya kichina inatafuta reliable supplier wa mbao au magogo. Hasa...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
wandugu kama nilijieleza kwa aliye nacho na kiasi cha bei tafadhali tuwasiliane kwa namba 0756494249. ili aniuzie. asante.
0 Reactions
0 Replies
715 Views
6 acres land fore sale located at africana mbezi dar es salaam suitable for industry, hotel, schools etc Price Tshs. 900 mil , all necessary legal documents are available . contacts...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna dogo yupo arusha anasoma chuo anahitaji.mishe yoyote au kazi ya kufanya weekend ili apate pesa maana anasoma na anahitaj kupata pesa Huyu kaka anataka kazi hasaa wekeend kwa arusha jamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi,nahitaji msaadawenu wa mawazo,kwa anaejua bei ya hizi toyo za miguu mi3 kwa ajiri ya kubebea mizigo zinauzwaje?na wazoefu wa biashara hii ukimkabidhi mtu anakupatia shimgap kwa siku?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
I
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wakuu Kwa wale wauzaji wa Keyboards/vinanda aina ya yamaha na corg, pamoja na boosters naomba mjitokeze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Limited space available to the biggest real estate exhibition in Tanzania. Don't miss out call now and book your space among the greats in real estate.
0 Reactions
0 Replies
632 Views
wasalam naomba kupata namba ya wakala wa sigara, ambae mi naweza kuuza kwa jumla sigara kwa watu wa rejareja
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama unahitaji vifaa hivi kwa ajili ya biashara tafadhali wasiliana na 0653579325.Anaviuza kwa bei nzuri naamini na ni vipya ,havijatumika. Specification for Oven The oven has one deck, two...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom