Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani kwa wale waliopo dar kuna pikipiki znaitwa VROX nimezielewa sana nlikuwa naomba kwa aliye dar anambie zinapatikana kwa bei gani.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tunauza bati imara zisizopauka kutoka kampuni za Alaf,Dragon,Sunshare na Afrina company bei zetu za kiwandani, tupo buguruni chama or call 0713283760
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu asylum aleku Nauza Noah new model rangi nyeupe Gari ipo ktk hali nzuri Vibali vyote vipo ok Gari ipo dsm Bei milioni 8.5 Contacts 0714 521 128 0755 250 820
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza Rav4 ya mwaka 1999 milango mitano, ina airbag mbili. gari imetembea 100000km tu Gari haijawai kuguswa wala kupigwa rangi Vibali vyote vinakufa mwakani Contacts 0714 521128 0786 119448
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauza Toyota Premio new model (2005 year) ya silver plate number T664 DCU kwa milioni 11 Gari ina mwaka mmoja tu barabarani Gari inapatikana Kariakoo Gari haina tatizo lolote, haijawai kugongwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mafundi wa umeme pamoja na ujenzi wanapatikana kwa urahisi zaidi tunafanya ; 1. domestic installation 2.industrial installation 3.fixing and fitting tiles Pia vifaa vyote vinapatikana...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Nahitaji haraka mtaalam anaeweza akatafsiri kitabu cha kiswahili (hadithi) chenye kurasa 200 kuwa cha kiingereza.kama yupo tafadhali anipe namba yake
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nauza toyota ist namba T 777 DBU milioni tisa na laki saba Gari ipo ktk hali nzuri Gari ipo dsm Gari haijawai kugongwa popote wala kupakwa rangi Call/Whatsap 0714 521 128 0786 119 448
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunapokea oda za nyama ya ng'ombe kwa bei ya jumla, kuanzia kilo tano na kuendelea ikiwa una hotel, restaurant au any event usisite kuwasiliana nasi. 0689315582
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Salaam wadau...nauza printing machines zifuatazo: 1.Minolta Heavy Duty Copier 2.Large Format Printer(Plotter) Minolta zipo 2 nimezitumia kidogo sana but zinafanya kazi perfectly.Hii Plotter ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 7,700 linauzwa jijini Mbeya eneo la Iyunga. Tafadhali wasiliana nami 0754060350,0716252818
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wanaJF nahitaji fundi wa pikipiki aina ya Honda awe maeneo ya Kariakoo, posta, upanga au jangwani. Maana nataka niifanyie service pikipiki ya office. Ahsanten . Anayefahamu tafadhali nisaidie.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Make : TOYOTA Model : Premio Mileage : 19000 km Engine size : 1790cc Fuel : Gasoline/Petrol Drive : two wheels drive (2WD) Steering : Right Transmission : Automatic Ext. Color : Silver...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Make : TOYOTA Model : Crown Mileage : 97000 km Engine size : 2490cc Fuel : Gasoline/Petrol Drive : two wheels drive (2WD) Steering : Right Transmission : Automatic Ext. Color : Silver...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Gari aina ya Opaq inauzwa ipo Mbagala namba A ina tatizo kwenye Gearbox na haikai kwenye P bei 3ml mazungumzo yapo body ipo vizur na ndani ina muonekano mzuri sit zipo vizuri kioo cha mbele kina...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya Graphics Design & Printing. Wasiliana nami kwa: +255 766 898921, +255 679 898921 AU Email: graphicsmede@gmail.com, Facebook: Mede Graphics
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Jiunge Na mpango wa NYUMBA BUNIFU, mpango wa nyumba kupata kutokea Nchini, Unatakiwa kuwa Na milioni 7 tu, tutakupa kiwanja bure, ramani bure,bima, Na tutakukopesha nyumba baada ya kukamilika...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nyumba inapangishwa Moshi Maeneo ya Rau Madukani. Room: 4 (Master Bedroom 1) Common Bathroom &Toilet. Dinning room Jiko (lina makabati yake) Living room Verandah Vyumba vya nje (servants...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Karibuni mjipatie bidhaa nzur kwa kutoa mikunyazi usoni maalum kwa miaka kuanzia 35+ kwa ngozi aina zote, wake kwa waume. Seti nzima ni Tsh 240,000 ukinunua complete kwa wakati mmoja unapata kwa...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Mwenye iPad kwa dark market anichek biashara ifanyike leoleo Nawasilisha Limited edition
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom