Salaam wadau...kiwanja kinauzwa kipo Bahari Beach...pembeni ya Bahari beach hotel,kinaukubwa wa 1 acre na kiko fenced.Kina hati.Pls chek me inbox tuongee zaidi.0689900000.Email info@jassociates.co.tz
Nahitaji mkopo wa haraka wa milioni moja au laki 5, kulingana na uwezo wa mtoaji... utarejeshwa ndani ya mwezi mmoja na nasu ( kiasi nilichokopeshwa pamoja na riba yake) anaeweza kutoa anipm ila...
kama nilivyo ainisha kichwani hapo.
ninashida na chumba cha kupanga kama nilivyo elezea hapo juu!kwa maeneo hayo niliyo orothesha!
naomba kutumiwa kwa whatsapp nicheki 0719909267
Wakuu asylum aleku
Nauza Noah new model rangi nyeupe
Gari ipo ktk hali nzuri
Vibali vyote vipo ok
Gari ipo dsm
Bei milioni 8.5
Contacts
0714 521 128
0755 250 820
Nauza Toyota Premio new model (2005 year) ya silver plate number T664 DCU kwa milioni 11
Gari ina mwaka mmoja tu barabarani
Gari inapatikana Kariakoo
Gari haina tatizo lolote, haijawai kugongwa...
Mafundi wa umeme pamoja na ujenzi wanapatikana kwa urahisi zaidi
tunafanya ;
1. domestic installation
2.industrial installation
3.fixing and fitting tiles
Pia vifaa vyote vinapatikana...
Habari wakuu,
Nauza toyota ist namba T 777 DBU milioni tisa na laki saba
Gari ipo ktk hali nzuri
Gari ipo dsm
Gari haijawai kugongwa popote wala kupakwa rangi
Call/Whatsap 0714 521 128
0786 119 448
Tunapokea oda za nyama ya ng'ombe kwa bei ya jumla, kuanzia kilo tano na kuendelea ikiwa una hotel, restaurant au any event usisite kuwasiliana nasi. 0689315582
Salaam wadau...nauza printing machines zifuatazo:
1.Minolta Heavy Duty Copier
2.Large Format Printer(Plotter)
Minolta zipo 2 nimezitumia kidogo sana but zinafanya kazi perfectly.Hii Plotter ni...
Habar wanaJF nahitaji fundi wa pikipiki aina ya Honda awe maeneo ya Kariakoo, posta, upanga au jangwani. Maana nataka niifanyie service pikipiki ya office. Ahsanten . Anayefahamu tafadhali nisaidie.
Make : TOYOTA
Model : Premio
Mileage : 19000 km
Engine size : 1790cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : two wheels drive (2WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : Silver...