Mapfa A
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 250
- 258
Habari wakuu.
Nahitaji Ngombe wa kisasa wa maziwa aina ya ferrisian, au mixture ya hybrid ya aina hiyo. Naomba Tafadhali kwa anayefahamu jinsi ya kuwapata anisaidie TAFADHALI. Napatikana mkoa wa Kagera-Ngara. Kama naweza kuwapata karibu na hapo itakuwa vyema kabisa ili kupunguza gharama ya usafiri.
Naomba kuwakilisha wakuu.