Kiwanja Kinauzwa Goba

Kiwanja Kinauzwa Goba

Lyangalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2009
Posts
679
Reaction score
236
Kiwanja chenye ukubwa wa 30m x 30m. Kilichop Goba (1 km toka goba stand) kinauzwa. Eneo halijapimwa ila pameisheendelezwa. Bei 13M. Kwa mhitaji tuwasiliane (0719843898).
 
Hiyo bei kubwa sana kwa huku goba... Goba Kinzudi eneo la ukubwa huo unapta kwa mil 7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom