Habari zenu wakuu.
Iwapo pana mtu anauza gari lake na lipo kwy hali nzuri (Halijawahi pata ajali ama kupakwa rangi upya, halina matatizo kwy engine n.k) na iwe na Vibali vyote....tafadhari tuwasiliane. Aina ninayopendelea ni kama ifuatavyo;
Harrier
Rav4
IST
Passo
Vitz
Asante kwa kutopindisha lengo la thread hii.