Nahitaji ardhi heka 5

Msingi_Mbio

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
336
44
Naitaji aridhi heka 5
Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar
Iwe imepimwa
Budget yangu ni 10m.

Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Naitaji aridhi heka 5
Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar
Iwe imepimwa
Budget yangu ni 10m.

Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mkuu hekari zipo ila zina document zinazotambulisha mmlik halal wa Shamba kutoka serikal ya mtaa
 
Naitaji aridhi heka 5
Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar
Iwe imepimwa
Budget yangu ni 10m.

Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Unajua garama ya kupima ardhi na thamani ya hizo ekari 5?
 
Njoo bagamoyo ipo ardhi safi yenye rutuba. Inafaa kwa kilimo cha aina yoyote
 
Mkuu nenda kibiti kwa ela hiyo utapata eka nyingi sana, nilikuwa huko last week, for more details nichek 0714547830 nikuelekeze vizuri
 
1465572173140.jpg
 
Mkuu nnazo zipo kijaka kimbiji temeke dar es salaam...kuna MTO unaoflow kwa mwaka mzima nnazo eka 34 ila ntakukatia eka tano zako ukitaka mpka hati ya ardhi utapata..mawasiliano 0769468965
 
Mkuu nnazo zipo kijaka kimbiji temeke dar es salaam...kuna MTO unaoflow kwa mwaka mzima nnazo eka 34 ila ntakukatia eka tano zako ukitaka mpka hati ya ardhi utapata..mawasiliano 0769468965

Bei gani unauza
 
Mkuu nnazo zipo kijaka kimbiji temeke dar es salaam...kuna MTO unaoflow kwa mwaka mzima nnazo eka 34 ila ntakukatia eka tano zako ukitaka mpka hati ya ardhi utapata..mawasiliano 0769468965
Nahitaji ekari nne square 140m kwa 140m utaniuzia Tsh ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom