K Kalafunja New Member Nov 4, 2010 4 1 Jan 27, 2016 #1 Hi Nahitaji kuku kuchi wa kufuga. Nipo Dodoma. Mwenye kuku hao tuwasiliane..
mkayala JF-Expert Member Feb 25, 2009 555 72 Jan 30, 2016 #3 Mpigie huyu 0716 120 120 utapata tena wa ukweli.. Mwambie namba kanipa Rashid
azzurre Senior Member Apr 14, 2013 107 96 Jan 30, 2016 #4 Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi
Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi
azzurre Senior Member Apr 14, 2013 107 96 Feb 1, 2016 #6 Vizuri njo Zanzibar. Gharama ya nauli itakuwa reduced katika price ya kuku au
M Mwangologo New Member Jan 29, 2016 3 0 Apr 2, 2016 #7 mtu wa zanzibar nitumie namba yako kweye No hii 0754990725 maana hujaweka namba yako hapa
F Farmer101 New Member Mar 31, 2016 1 0 Apr 14, 2016 #8 Nahitaji Kuchi original pia. Azzurre mtu wa Zanzibar, tafadhali nitumie nambari yako kwa timnyongesa@yahoo.com
Nahitaji Kuchi original pia. Azzurre mtu wa Zanzibar, tafadhali nitumie nambari yako kwa timnyongesa@yahoo.com
J JAMBONIA 2 Member Mar 25, 2016 45 11 Apr 16, 2016 #9 tembelea hii website.. mwachie ujumbe jamaa katika contact us www.makuchiblog.wordpress.com
G gpluse JF-Expert Member Apr 1, 2012 636 831 Apr 28, 2016 #10 Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje
Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje
M Mwangologo New Member Jan 29, 2016 3 0 May 15, 2016 #11 gpluse said: Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje Click to expand... Nipigie 0754 990725 nikuuzie unataka kuchi wangapi ninao kila aina
gpluse said: Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje Click to expand... Nipigie 0754 990725 nikuuzie unataka kuchi wangapi ninao kila aina
E eng. kipande Member Mar 28, 2015 32 3 Jun 11, 2016 #12 jaman nko dar nahitaji wa kufuga kuch wa kufuga...0654907899
N niah R I P Sep 26, 2015 7,019 9,291 Jun 11, 2016 #13 Naona uvivu ku google hawa kuku wana utofauti gani? Ndo hawa wakupiganisha na watu wanaBET au?
for life JF-Expert Member Sep 22, 2014 3,396 4,437 Jun 13, 2016 #14 duu kwa hyo ni kupiganisha twoo kumbe