Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naomba kama unaifahamu shule nzuri yenye kiwango kizuri cha ufundishaji na utulivu wa mazingira maeneo ya kuanzia BUNJU mpaka BAGAMOYO naomba nifahamishe. Nina watoto wa miaka ya kwenda shule hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single with public toilet),sitting room kubwa, dinning, (fens&parking area),umeme unawaka ipo barabara ya mtaa kutoka stand ya daladala n mita 700 contact 0656 698232
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Simu iko vzr n original Internal 16GB Ram 3GB 20 megpix Check me 0719210905 5.2 inch
0 Reactions
5 Replies
945 Views
About Big One Enterprises Big One enterprises(logistics ) Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama,mda,usumbufu katika sekta ya upauaji,tumejikita katika kuokoa gharama na kumpunguzia mteja gharama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Toa order yako mapema, unaweza kupata vifaranga at least 100 kila wiki (uwezo wangu ni kutoa vifaranga 150 kwa wiki) Wewe utaamua unahitaji wenye umri...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama Uko #Arusha 105.7 FM huna haja ya Kupanga Foleni Kupata Sukari we sikiliza #GoodMorningTanzania ya @Radio5tz Asubuhi saa 12 hadi saa 3 Upewe Sukari Bure....Piga Namba 0687010102...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Toyota Raum 2004 inauzwa bei 8.7m NEGOTIABLE. Milage 128,000, inatembea, haina tatizo lolote, mifumo yote inafanya kazi, kiyoyozi kipo sawa, vibali vyote vimelipiwa. Lipo Morogoro Manispaa. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Sony tv 32 inches used from uk for Price 320,000/=
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba vitatu self contained kimoja ni master bedroom inapangishwa,ipo Usa River karibu na Polisi station . Nyumba ni fully furnished inafaa kwa wageni kutoka nje ya nchi wanaokaa kwa...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Viwanja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na shughuli nyingine vinapatkana kwa ukubwa 20×2. Bei: 2,300,000/= nafasi ya mazungumzo ipo kwa muhitaji wa kweli. Contact: 0656 698232 Call or SMS..
0 Reactions
102 Replies
14K Views
Tembelea Arusha Empire Counselling Centre Kuna watu wanawatwisha wachungaji na watumishi wengine mizigo wakidhani wana mapepo kumbe wanataka ushauri tuu. _ kuna watu wengi wanafika point of no...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rav 4 old model ipo sokoni. Price 8m Manufacturer year 1995 Displacement 1990 Ni pm mwenye huitaji
0 Reactions
22 Replies
3K Views
nina tecno p5 imeganda kwenye kwenye logo ya tecno,msaada wa kupata rom
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Kampuni yetu imefungu Branch Arusha sasa kama unashida yoyote ya kuprint ama kupiga Copy na kifaa chochote duniani . Usisite kupiga simu yetu 0655948888
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Kama kicha habari inavyosomeka hapo juu. Nahitaji mtu mwenye uwezo na ujuzi wa kufanya yafuatayo:- 1: video shooting and editing. 2: graphics designing. Ni kwa ajili ya production ya kipindi cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza sandals za Wadau tuungishane basi jamani sio kupeana tu maujanja wakati wateja ndio nyienyie. Hizo ni baadhi tu ya sample ila zipo nyingi na za ukweli sana ni kwa jinsia zote na saizi...
4 Reactions
33 Replies
13K Views
2002 TOYOTA RAV 4 PRICE TZS 13,000,000 Negotiable: Yes Vehicle Type: SUV & 4WD Kilometers: 140,000 Transmission: Automatic Four Wheel Drive: Yes
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Iwe na vyumba vya kulala vitatu, pia nyumba ndogo ya mfanyakzi . Kama unayo tuma picha na maelezo yake kwa njia ya whatsapp 0784225000 au email: info@kitomai.com bajeti tshs 2,200,000/= kwa...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Gari iko vizuri sana Full AC haijawahi kuguswa injini automatic cc 2490 Cheki picha ukipenda njoo tuzungumze
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Naomba msaada ili nipate laptop nzuri kwa budgeti hiyo. Lakini ningependa processor yake isiwe chini ya 2.0Ghz
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…