Shamba lipo linaukubwa wa kutosha maji kibao kama unataka plz ni pm tuelewane bei ni ndogo karibu na bure. waweza lima mazao ya mbogamboga, mazao ya biashara na nk.
Nawasilisha
Viwanja viwili vinauzwa vya ukubwa wa 32 * 26. Havijapimwa. Viko makabe karibu na kituo cha polisi. Ukiwa bararani hapo kituo cha polisi unaviona.Kila kimoja ni tsh 40 ml.
Nyumba na inauzwa...
Amani iwe kwenu wadau
Nauza viwanja vipo mbezi msakuzi maarufu kama Pilikapilika/machimbo ni pembeni mwa barabara ya kwenda Makabe ukiingilia barabara ya Mbezi high school. Viwanja vipo vinne...
Nyumba INA vyumba 3 kimoja self, jiko,nk
Nyumba bado mpya. Bei yake 150ml. Maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi au kutaka kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
Ndugu wana JF nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji hasa mahindi na mbogamboga naomba kujua gharama za vifaa hasa mabomba ya kutandaza shamba lenye ukubwa wa ekari moja. natanguliza shukurani
JMK ROYAL SERVICES
Agent of Building Materials tunakuletea tiles za TwyFord(better tile,better life)
Tiles za kila aina zote(za ukutani,chini,jikoni,bafuni,na ukuta wa nje ya nyumba) upendazo kwa...
Pikipiki aina ya boxer, imetumika kwa miezi 8 tuu na ilikuwa inatumika kwa ruti fupifupi za kibinafsi (kuendea chuo tu) na sio za kibiashara,hivyo ipo katika hali nzuri na Haina tatizo lolote.
BEI...
Habari, kama kichwa cha habari kinavyojielezea natafuta watu wanaotaka kujifunza web development and design kwa mkoa wa dodoma ntatoa training kwa bei ndogo sana lengo ni kuwasaidia.
Kutakuwa...
Honda Acty van ya mwaka 2004 for sale, manual, 660cc, very good for town trips, mileage ni 187,000km, price 6.5Mil TZS, very good condition, contact 0768236317, Location ni Arusha
Kiwanja kipo Goba mjini mita 300 kutoka stand
Ukubwa miguu 50 kwa 40,pako vizr na njia inafika hadi kwenye plot..bei 35 ml maongezi yapo
Kwa Maelezo zaidi na kuhitaji kuja kuona wasiliana nami...
Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana...
-PRIME AREA PLOT(1961 sqm) WITH BUILDING IS AVAILABLE FOR SALE.
-PLOT IS LOCATED AT MBUYUNI CORNER-WAY TO BAHARI BEACH
-IT IS JUST 10 METRE FROM BAGAMOYO ROAD
-FOR MORE INFORMATION CONTAT 0625 767348
Petrol station plot yenye Square meters(SQM) 5200,ina Title deed kwa ajili ya matumizi ya PETRO STATION,ipo barabara ya lami eneo la mandewa ,barabara ya sepuka ,ni eneo zuri kibiashara,ipo jirani...
[emoji95]FURSA FURSA FURSA[emoji95]
Habari. Nakuomba kama wewe ni mjasiriamali utenge muda wako kidogo upitie ujumbe huu.
Icharity Club ni foundation ambayo imeanzishwa December 2015 nchini...