WAKUBWA NI MDA WA KUTUMIA UTANDAWAZI VIZURI KWA KUPIGA MKWANJAAA, MIMI NATOA HUDUMA YA KUUZA NA KUUNGANISHA ADSENSE ACCOUNT KWENYE BLOGS NA YOUTUBE KWA KIASI CHA ELFU KUMI TU PIA NAKUUNGANISHA NA...
Bei Milioni 6.5,Gari Ipo kwenye hali nzuri sana,ina vibali vyote na imetembea kilometer elf 90 tu..gari Ni full kipupwe.kwa mawasiliano piga Simu namba 0712 355025
NAUZA KIWANJA KILICHOPIMWA NA KINA HATI..
KIPO TUNGUU ZNZ KARIBU NA CHUO KIKUU, KIPO KATIKA MASTER CITY PLAN YA SERIKALI
MJI UMESHAJENGEKA VIZURI SANA KWA NYUMBA ZA KISASA..
BEI NI MIL 18 TU..
Habari ndugu zangu, nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja,kipo kigamboni Mwasonga opposite na sekandary ya kisalawe B. Ni cha kwangu mwenyewe,nauza kwakuwa ninashida ya ADA ya masomo,hakuna...
HABARI ZENU WAKUU: Kwa wale Wenye kutaka kununuwa Kanzu za kiume za Wakubwa na za watoto wamtafute Bi Faudhia bint Ibrahim mdogo wangu anazo kanzu nzuri sana na bei poa ukihitaji unaweza...
KITUO KIPO NJIA YA MLANDIZI KUTOKEA BAGAMOYO BARABARA IPO KATIKA HARAKATI ZA KUTIWA LAMI..BARABARA HIYO YOTE HAINA HUDUMA HIYO YA MAFUTA TAKRIBANI KM30..KITUO KIMEKAMILIKA KWA TAKRIBANI ASILIMIA...
Panasonic HDC-HS300. 3mos
1920 fullHD.
Inatumea HDD (120GB) ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi kama unavyoona katika pictures ipo na external mic, bag,2 batteries na original box .
ipo...
Wakuu habari za majukumu.
Bila ya kuchelewa wala nini,naomba tujikite kwenye mada hapo juu.
Harrier yenye specs zifuatazo inahitajika
1: colour "black or silver"
2: transimission "auto"
3: cc...
Wakuu nna Toyota RAV 4 ya mwaka 1998 nataka nibadilishane na mtu mwenye Toyota IST ya mwaka (2000-2003), kwa mwenye uhitaji huo tafadhali. Aidha kulingana na utofauti wa bei ntahitaji kuongezewa...
Habari Ndugu zangu, nahitaji friji size ndogo kabisaa zile zenye watts 90.. Kama unajua wapi naweza zipata mpya kabisa msisite kuniambia na bei zake. Asanteni.
Habari wakuu.
Nafundisha accounting Packages mbalimbali kwa watumiaji na supporters. Hii ni pamoja na Sage evolution, Pastel Partner, premier payroll, Tally na Sage HR.
Elfu themanini kwa kila...
Hello!
1200 Sqm stand for sale in Mbweni JKT Block 6. Build the home of your dreams and this huge stand in a lovely Mbweni JKT neighborhood just 1km to Mbweni beach. It is a bargain not to be...
kama habari hapo juu,pm bei na picha,kuanzia 25 june.security maji muhimu kiwe furnished na kila kitu.muda kukaa ni siku 25-30.
tiririkeni bei kwa pm na no.
Kuku Chotara majogoo na majike yanauzwa kwa sh. 15,000/= tu kila mmoja. Pia Mayai ya Kuku Chotara yanauzwa kwa sh. 12,000/= kwa trei. Mwenye kuhitaji ani PM
Habari wana JF,
Kiwanja kinauzwa, kipo njia ya kwenda Iringa maeneo ya CHIDACHI(Chidachi South).
Ni kiwanja cha pili kutoa barabara kuu ya Dodoma-Iringa. Ni Kizuri kwa makazi na biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.