Baby boy Urinal Potty
Kwa watoto wa kiume
Weka mahala maalumu na mfundishe mtoto wako kutumia hana ndogo.
1. Rahisi kutundika ukutani
2. Rahisi kutoa inner set iliyo na mkojo na kurudisha
3...
Wengi wamekuwa wakiulizia uchoraji ramani, ukadiriaji wa ujenzi wa nyumba na gharama za upimaji viwanja na mashamba, nimebahatika kukutana na kijana huyu James Aloyce (facebook) mzoefu na...
Tunatoa Huduma za;
1. Uhakiki wa kiwanja chako kwa kuchukua 'coordinates' ili upate kujua kama eneo lako ni sahihi kulimiliki au la, usije kujenga katka eneo lililotengwa kwa shughuli za serikali...
Nyumba inapangishwa tegeta namanga,ni nyumba nzuri sana inafaa kwa familia au kwa ofisi.ina servant quater,fensi na car parking kubwa.dk tano kutoka new bagamoyo road.kodi ni sh 1M unaweza lipa...
Poleni na majukumu, nimekuwa na ndoto za kumiliki gari tangu zamani sana. Sasa kupitia shughuli zangu ndogo ndogo nimefanikiwa kusave shilingi laki nane (800,000) ambayo kwa maisha yangu mimi ni...
Shea butter ni nini?
Ni mmea kutoka wa aina ya kipekee kutoka West Africa. Tunda la mmea wa Shea uwa linatwangwa na kuchemshwa hili kupata Shea butter.
Faida za kiafya na urembo
Shea butter ina...
Hello wana jamii...
Kwa wale wapenzi wa vitabu vya riwaya za upelelezi, napenda kuwatangazia kuwa sasa kitabu cha malaika wa shetani kinapatikana kwa bei ile ile ya shilingi elfu 10,000.Ili kupata...
Sofa mpyaa ya watu 6, ni ya kisasa, ina miezi miwili tangu inunuliwe, mwenye nayo anahama kikazi hawezi safiri nayo kupunguza gharama, Mpya ni 1.5m Ila kwa Sasa hivi anaiuza 800,000/= tuu...
Habarini za kazi wanajamii forum, naomba msaada wa mtu wa coca cola ambao huwa wanaandika majina kwenye chupa za coca Nina function hapa shuleni kwangu nataka wanafunzi waandikiwe majina nipo...
Wandugu, habari zenu.
Ninatafuta kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya makazi
Bajeti yangu haizidi Tsh 8m. Ninapenda kiwanja hicho kiwe maeneo ya Shangarai, Makumira, Usa, na maeneo yote...
POTTY ZA WATOTO
1. Rahisi kubeba
2. Zina kina kirefu cha kutosha
3. Unaweza safiri nazo popote kwa gari yako au basi au ndege
4. Baada ya mtoto kujisaidia unafunga lock, uchafu na mikojo...
Natafuta upande wenye Chumba kimoja ,sebule na jiko,choo kiwe ndani au nje lkn kinajitegemea,luku ya kujitegemea .Maeneo yawe Ubungo,River side au Tabata..
Wadau heshima kwenu?
Niliwahi kusafirisha parcels to Stavropol,Russia miaka kadhaa nyuma,ila kampuni hizo zimekataa kusafirisha mzigo wangu kwa sasa kwa madai kuwa sheria ya Russia inakataza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.