Wakuu ninauza shamba liko maeneo ya Pongwe Tanga. Eneo linaukubwa wa eka 1.5, linafaa kwa makazi, huduma ya maji ipo, bei ni 3500000/=. Kwa maelezo zaid tunaweza kuwasiliana 0762007596
Ni simu toka vetnamu aina ya samsung galaxy j7 ni mpya ina 16gb kamera ya nyuma 13 ya mbel 5 bei yake 380000.
Risti ipo na box lake lenye ime namba yake imenunuliwa mobile plaza tar.16 june 2016...
Nyumba inauzwa tabata magengeni iko kwenye hali nzuri uwanja sqm 1800 inatapakana Barbara segera panafaa kumbi ndio hati take inavyobainisha contact 0655619108
Ipo ununio ya pili kutoka barabara ya ununio kwenda Boko, Nyumba zipo mbili kwenye Eneo moja na kila moja ina vyumba 2 vyote ni self, ina seble jiko na public toilet.
Kodi yake kwa mwezi ni sh...
ina vyumba viwili.sebule.jiko.choo na bafu.ina fensi.kodi laki mbili kwa mwenzi.kodi ya mienzi 6
0746316028.picha network inasumbua kuapload ikikaa sawa ntaweka
Make : Toyota
Model : Landcruiser
Mileage : 127,000 km
Engine size : 4660cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : Four wheels drive (4WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : Pearl...
Make : Toyota
Model : RAV4
Mileage : 136,000 km
Engine size : 1990cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : Four wheels drive (4WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color ...
Viatu tajwa vinatafutwa sana ningependa kama vitakuwa suede material au kama unajua duka vinapopatikana nitafurahi ukinielekeza
pia viwe high top.
Natanguliza shukrani
Salamu zenu wanajf,
Naomba mwenye taarifa za kiwanja 20*20 au 20*30 maeneo yeyote ya barabara ya Bagamoyo tupeane taarifa..boko hadi bunju mpaka mabwepande.
Ukitaja bei ni nzuri pia kama na...
Nauza Lumix Hiyo Gf1 InaChukua Video Kwa 1080 AVCHD. Imetumika 1 month SA. Lens Yake Ni Attached! Ina Battery Pack 2, Chager Na 64 GB Memory! Bei 550,000/= Tu Maulizo Kulialia 0712988560.
Kuna kipindi nilitoa tangazo la kuhusu uchoraji wa picha, kuna mtu alinilipa pesa adavance picha yake ichorwe, mchoraji akapata tatizo, na pesa alikuwa katumia, nikakubali mim kumlipa yule ndugu...