Kiwanja Bagamoyo Road

Dumbuya

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
595
876
Salamu zenu wanajf,

Naomba mwenye taarifa za kiwanja 20*20 au 20*30 maeneo yeyote ya barabara ya Bagamoyo tupeane taarifa..boko hadi bunju mpaka mabwepande.
Ukitaja bei ni nzuri pia kama na picha unayo ni nyongeza.

Asahnteni.
 
Mkuu Mimi nauza kiwanja changu kipo bunju miazini mita 500 kuingia ndani njia ya dogodogo center kina ukubwa wa mita 20 kwa 40 na bei yake 17ml ila pia tunaweza kuzungumza kidogo

Na pia kingine kipo ukivuka daraja la mapinga 2km kuingia ndani kidgo maeneo ya kiaraka
Ukubwa mita 20 kwa mita 25 na bei yake 7.5ml

Kwa Maelezo zaidi na ukihitaji kuja kuona tuwasiliane kwa 0756060183
 
Salamu zenu wanajf,

Naomba mwenye taarifa za kiwanja 20*20 au 20*30 maeneo yeyote ya barabara ya Bagamoyo tupeane taarifa..boko hadi bunju mpaka mabwepande.
Ukitaja bei ni nzuri pia kama na picha unayo ni nyongeza.

Asahnteni.
Ninacho mkuu kipo boko mianzini ukubwa sqm 900 na kina fensi yenye frem mbele unapewa na frem zake tuwasiliane au ni #0712464777 pm
1467531662131.jpg
1467531681088.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom