Kurejeshwa kwa fedha.

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
31,487
92,349
Kuna kipindi nilitoa tangazo la kuhusu uchoraji wa picha, kuna mtu alinilipa pesa adavance picha yake ichorwe, mchoraji akapata tatizo, na pesa alikuwa katumia, nikakubali mim kumlipa yule ndugu..

Kama ni wewe unaweza kunichek kwa 0659445718 then nitumie picha ile uliyohitaji kuchorewa kisha mimi ntakurudishia fedha yako.. Samahan kwa usumbufu popote ulipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom