Natafuta clarks wallabee niko Dar

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Viatu tajwa vinatafutwa sana ningependa kama vitakuwa suede material au kama unajua duka vinapopatikana nitafurahi ukinielekeza
pia viwe high top.
Natanguliza shukrani
26103811_AZ

url
 
Mkuu nenda pale posta baada ya kupita nmb ukitokea crdb azikiwe kwenye lile ghorofa jipya kwenywe duka la CAT Au nenda mnazi baridi lipo opposite na Niko tower hotel
 
Ahhhhh hii kitu hatari sana nilikuwa na pair tatu rangi tofauti nilivikuta mtumbani afu bei cheap pair tatu zote niliuziwa pamoja. Nilivipenda kutokana na Series namba moja duniani Breaking Bad vimevaliwa season zote na Mr White. Mpaka kuna kipindi nikaacha kuvaa sandle sana kuna mtoto mmoja mzuri akaja kuniambia kuniambia unapendeza ukivaa Wallabe zile mbona siku hizi uvai na hio ndio ilikuwa maneno ya kwanza kuongea na mimi na nilikuwa na mkubali ila domo linakuwa zito urafiki ukaanzia hapo..... kifuatacho ITV ilikuwa...... inabidi nitafuta pair zingine aisee
 
au na wewe ni mwalim wa chemistry umeamua kuamia kwenye drugs,,natania jamaa ,aisee mr white umwambia kitu chochote kuhusu huu mzigo,haa haaha aa,acha niutafute hizo sehem tajwa hapo juu,nauelewa sana huu mzigo
 
umenikumbusha Mr hisenberg.
 
Huo mkato wa hivyo nlivaaga early 2000's wakati still im young blood nakumbuka vilikuwa famous kama LUGZ
 
Back
Top Bottom