Naomba kujua bei ya karanga kwenye soko.

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,396
1,784
Wadau,

Kwa anayefahamu bei ya karanga kwa kg 1 iliyomenywa tayari naomba nijuzwe na soko gani naweza kuuza kama gunia 120.
 
Daa! Hakuna anayejua au Magufuli kafanya uchumi hata wa wazalishaji wa bidhaa za groundnuts kuwa katika hali mbaya.
 
Niliwahi kuskia kuwa ni 1200 tabora

Hiyo ni bei ya mda mrefu sana.Sidhani kwamba kuna sehemu hapa Tanzania bado hiyo bei ipo.

Je,viwanda vinavyokamua mafuta kwa Dar au Morogoro ili niwe nawapelekea mizigo hiyo ya kutosha kama unafahamu kiwanda chochote....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom