We are looking for experienced school matron for our Secondary school (Westgate Girls School) located at Misugusugu Kibaha.
Job Prescription;
1. Age;30 (Thirty Years and above)
2. Gender...
wakuu mambo vipi? nauza simu tajwa hapo juu..... ni HTC inspire 4g ambayo iko kwenye hali mzuri sana
Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine
Bei yangu ni Tsh laki moja na nusu
kama unaitaji...
1. Diploma in Co-operative Management and Accounting (DCMA)
2. Diploma in Business Information and Communication Technology (DBICT)
3. Diploma in Enterprise Management (DEMA)
4. Diploma in...
Mahudhui yaliyomo katika kitabu hicho:
-Mwandishi wa kitabu hiki ameelezea kwa kina siri mbalimbali zilizojificha ndani ya tendo la kujamiana.
-Mwandishi ameelezea kwa kina namna ya kufika...
 dell and hp
 za kulala na kusimama
 complete set and cpu only
 hdd from 250gb,processor from 3ghz,ram from 2gb.
available from 280,000 tsh.
 hata ukiwa mkoani utatumiwa mzigo..
 calls...
Amani kwenu wote wana jamvi hili la JF.
Ninatafuta kiwanja katika eneo la Kbada Kigamboni.
Kiwe kiwanja halali chenye hati.
Bajeti yangu ni shilingi milioni 15.
Habari wana JF
Natahitaji kununua Generator ya Caterpillar yenye uwezo kuanzia 5KV na kuendelea, iwe mpya au yeyote anayefahamu inapatikana wapi naomba anifahamishe.
Nawasilisha.
JMK ROYAL SERVICES
Agent of Building Materials tunakuletea tiles za TwyFord(better tile,better life)
Tiles za kila aina zote(za ukutani,chini,jikoni,bafuni,na ukuta wa nje ya nyumba) upendazo kwa...
Habari,
Nahitaji kununua phamacy au duka la dawa muhimu hapo Kasulu Kigoma lengo likiwa ni kujikita ktk biashara hiyo au mwenye frame kubwa anayeweza kunipangisha kwaajili ya phamacy
Habarini,
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji huduma ya mtu yoyote mwenye uwezo wa kutengeneza FAKE GRASS na iwe inaruhusu maji kupita kwa chini.
DImension can be 20 * 30 or 20 * 40...
Habari Wanajamii,
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji huduma husika hapo juu na ntashukuru kama ukinitajia na gharama ya kutengeneza.
Tiles ni 2 na ziwe na image tofauti.
Joel