Nahitaji Huduma ya Kuprint image katika tiles

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,088
423
Habari Wanajamii,

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji huduma husika hapo juu na ntashukuru kama ukinitajia na gharama ya kutengeneza.

Tiles ni 2 na ziwe na image tofauti.

Joel
 
Jamani hamna mtu yoyote mwenye information kuhusiana na hilo jambo hapo juu
 
Tiles ni za ukutani (zile nyeupe) na nia yangu ni kuweka picha ya mtu na maelezo machache.
 
Jamani hamna mtu yoyote mwenye information kuhusiana na hilo jambo hapo juu

nitafute mkuu tuna print tiles za size ya 20x30 cm hizo kama unazotaka kwa 100,000 mpaka 120,000 kwa kila picha kutegemea na Quality unayotaka +255719784767


na pia tunatengeneza makaburi ya Marble yakiwa na design unayotaka na maneno unayotaka na picha pia kwa gharama nafuu
 
Hamna wajasiriamali wengine wenye uwezo wa kufanya hii kazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom