Natafuta kiwanja Kibada, Kigamboni

Natafuta kiwanja Kibada, Kigamboni

Hikma

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
497
Reaction score
415
Amani kwenu wote wana jamvi hili la JF.

Ninatafuta kiwanja katika eneo la Kbada Kigamboni.
Kiwe kiwanja halali chenye hati.
Bajeti yangu ni shilingi milioni 15.
 
Mil 15 kiwanja kwa kibada chenye hati kupatikana kuna taabu maana huo ukanda wamejenga wakubwa wengi sana na watu wenye uchumi mnene
 
Ntajaribu kukuulizia maana na mimi nakaa eneo hilo nilinunua 2007 kipindi hiko viwanja ilikuwa ni bei ya kutupa. 15 million sina uhakika sana lkn 20 million unaweza bahatisha. Unahitaji square meter ngapi?
 
Kuna kimoja mhusika kaweka kibao na namba ya simu, kinauzwa, Ngoja kesho nitakuletea namba.

Ila kwa bei hiyo sina uhakika sana kama utapata maana kuna vingine viwili (watu tofauti) vimeuzwa maeneo hayo hayo kwa 30m
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Njoo Dege mkuu kibada sio dili kwa sasa hiyo mil 15, na chenji itabaki.
 
Nenda ukanda wa Toangoma opposite na funny city wanapaita malela naona bado kina viwanja na unaweza kupata kwa hiyo bei ingawa vinapanda kwa kasi sana
 
Ntajaribu kukuulizia maana na mimi nakaa eneo hilo nilinunua 2007 kipindi hiko viwanja ilikuwa ni bei ya kutupa. 15 million sina uhakika sana lkn 20 million unaweza bahatisha. Unahitaji square meter ngapi?
Mkuu huko Kibada viwanja vinapatikana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom