Natafuta Caterpillar Generator

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Habari wana JF

Natahitaji kununua Generator ya Caterpillar yenye uwezo kuanzia 5KV na kuendelea, iwe mpya au yeyote anayefahamu inapatikana wapi naomba anifahamishe.

Nawasilisha.
 
5kva ni genereta ndogo sana. Sidhani kama Caterpilla wanatengeneza hizi. Badala yake nakushauri utafute Honda...
 
Nashukuru Bro, nimesema kuanzia 5KV, kimsingi nahitaji brand ya Caterpilar, iwapo inapatikana ya 10Kv ni sawa tu
 
Mkuu kama uko dar es salaam jaribu pale vingunguti karibu na kiwanda cha pepsi huwa naonaga pale vifaa vyao unaweza ukapata mwongozo zaidi ukiweza kufika hapo!
 
hapa pretoria zipo nyingi ukikosa huko tuwasiliane na kama kweli unahitaji ntaenda katika Auction ntazipata tuu...kuna ambazo nishaziuza picha zipo sema zinagoma humu kama ni pm nikutumie picha wewe ndio uzitume hapa jamvini..45kv nimeuza kwa 25million unalipa ikifika huko mara nyingi zinakua na masaa 2300 kushuka chini kwa CAT...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom