Nahitaji mtu anaeweza kutengeneza artificial grass kwa reasonable price

Nahitaji mtu anaeweza kutengeneza artificial grass kwa reasonable price

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,100
Reaction score
440
Habarini,

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji huduma ya mtu yoyote mwenye uwezo wa kutengeneza FAKE GRASS na iwe inaruhusu maji kupita kwa chini.
DImension can be 20 * 30 or 20 * 40.

Nitashukuru kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom