Nadhani wananunua kwa 55000Habari jf... Nina cheni 3, earings na bangili za dhahabu nimepata kwenye mgao wa uridhi wa marehemu ndugu yangu sasa nataka kiviuza kwani sina matumizi navyo je kuna mtu yoyote anajua wapi naweza kuuza? Na gram moja inauzwaje?