Etihad cargo starts twice weekly flight to Brussels airport

Jun 10, 2016
13
1
11392.jpg

Etihad Cargo has commenced a new twice weekly A330 freighter service to Brussels Airport in Belgium further strengthening the connectivity options and economic ties between Abu Dhabi and Brussels, and adding freighter capacity to its existing passenger service.

The airline already flies a daily passenger service to Brussels with its supporting bellyhold cargo, and the addition of the freighter underlines Belgium’s importance to its European network.

David Kerr, Vice President of Etihad Cargo, said: “Brussels is an important route into Europe with the freight operation returning to full strength, so as part of our plans to expand further this year, we are pleased to begin operating in and out of the city.

“Brussels provides vital connections across Europe and is also a key connector into Africa so we know that it will be another important route on our global freighter network.”

As a leading European gateway, Brussels Airport will further benefit Etihad Cargo’s operations with its dedicated infrastructure for the transport and handling of products that require an unbroken cold chain, particularly pharmaceutical products and perishables.

Etihad Cargo launched its own specialised product for the pharmaceutical industry, TempCheck, in March 2015. Its service ensures that all temperature-sensitive pharmaceutical products including blood plasma, tablets, medicines and anaesthetics are transported in compliance with industry and regulatory guidelines.

TempCheck incorporates the latest equipment, processes and operating procedures to keep all pharmaceutical products within a temperature controlled environment at every stage of the journey. The programme is supervised by experienced Etihad Cargo teams and supporting ground handling staff.

The new freighter connection for Etihad Cargo will provide seamless connectivity over the Abu Dhabi hub to 58 destinations in the carrier’s global network and over 1000 weekly connections.
 
Image.jpg

Makamu wa Rais wa Huduma wa Shirika la Ndege la Etihad, Sajida Ismail (kushoto) na Makamu wa Rais wa Uhusiano wa shirika hilo, Calum Laming wakipokea tuzo za Skytrax World Airline ya World Best First Class Airline, World’s Best First Class Onboard Catering na World’s Best First Class Airline Seat

Shirika la ndege la Etihad limetunukiwa tuzo tatu za ubora wa juu kwenye madaraja pia tuzo ya ubora kwenye huduma za vyakula pia tuzo ya ubora kwenye malazi kutoka Skytrax Worldairline Awards, zilizotangazwa NCHINI uingereza.

Tuzo hizo za World Airline ni za kimataifa na huhusisha mashirika ya ndege yanayofanya vizuri katika sekta ya usafiri wa anga. Mshindi huchaguliwa kwa kura kutokana na mchakato ambao huchukua miezi 10 kukamilika kwake huku ikujumuisha wasafiri takribani milioni 18 kutoka katika nchi zaidi ya 100 ulimwenguni.

Makamu wa Rais wa Shirika la Etihad kwenye masuala ya wageni alisema,“ Mwaka 2014 tuliingia kwenye ushindani kwa kutambulisha ndege yetu ya abiria Airbus A380 na Boing 787 Dreamliner. Jambo hili limeonyesha dhamira yetu ya kuwa wa kwanza katika kutoa huduma ya kisasa na uvumbuzi.”

“Ninafarijika na jambo hili ikiwa ni matokeao ya uwekezaji wa huduma bora kwa wateja wetu ulimwenguni, kwa mara nyingine tena tumetunukiwa tuzo hizo za kuwa wa kwanza kwa ubora katika huduma za kuwa na madaraja yenye hadhi. Tuzo hii itakuwa chachu katika kuongeza nguvu kwenye kuwekeza zaidi kwenye bidhaa zetu na huduma za usafiri.”

Katika miaka ya hivi karibuni, shirika laetu limepata tuzo ya kuwa wa kwanza kwenye huduma zetu. Hii ni mara ya pili kwa kupata tuzo na kipekee kupata tuzo tatu kwa pamoja ikiwa ni shirika pekee kunyakua tuzo hizo.

Mwnyekiti wa Skytrax, Edward Plaisted alisema “Shirika la Ndege la Etihad limekuwa likiimarika na kuwa bora zaidi katika usafiri wa anga kwa kuendana na mabadiliko ya teknolojia ya kisasa katika utoaji wa huduma zake na ukarimu. Kwa mara nyingine tena shirika hili limenyakua tuzo tatu muhimu kwa kupigiwa kura na amamilioni ya wasafiri ulimwenguni kote, ambapo ni dhahili ilistahili kuwa mshindi kutokana na kutoa huduma za kiwango cha juu.”

Kuwapo kwa huduma nzuri za maradhi kwa wasafiri, vyumba nanae vya kulala vya hadhi ya juu, eneo zuri na la kipekee kwa abria kupumzika likiwa na ukubwa wa kutosha ni mambo yaliyopelekea kupata tuzo ya ubora.

Kuwapo kwa ndege ya 787 ambayo ina ambayo imesheheni vitu mbalimbali ndani yake ikiwamo vyumba vyenye vitanda, runinga kubwa ya kisasa, eneo la kulia chakula na madhari ya kuvutia ni miongoni mwa mambo yaliyoipa tuzo ya kuwa wa kwanza kwenye ubora wa hali ya juu.

Shirika la Ndege la Etihad kwa kutumia ndege zake za Boeing 777 ana Airbus A330/A340 itaendelea kutoa huduma bora kwa wateja zikiwa na viti vyenye mwonekano na mazingira mzuri kwa mtumiaji.

Ndege za shirika la Etihad zimekuwa zikitoa huduma bora zaidi za hoteli ndani ya ndege zake ili kukidhi mahitaji ya wateja wake. Katika hoteli zake ndani ya ndege kuna huduma ya vyakula vya aina mbalimbali ambavyo vinaandaliwa na watu wenye uzoefu. Na huduma ya chakula inatolewa kwa madaraja yote kwenye ndege za Etihad. Pia wateja wana fursa ya kujadiliana na watoa huduma kwenye ndege kulingana na mahitaji yao ya chakula.

Wageni wanaweza kuchagua chakula wanachokipenda kwenye menu zinazopatikana kwenye hoteli za kwenye ndege.

Aidha katika Uwanja wa Kimataifa wa Abu Dhabi kumefunguliwa mgahawa ambao utahudumia wateja wa Etihad ukiwa na vitu mbalimbali muhimu ambavyo vitakidhi mahitaji ya mteja ikiwa na lengo kila mteja apate huduma bora inayomfaa.

KUHUSU SHIRIKA LA ETIHAD
Shirika la Usafiri wa Anga la Etihad ni linafanya shughuli zake ulimwenguni kote likifanya shughuli zake; kupitia Shirika la Ndege la Etihad, The National Airline of The United Arab Emirates, Etihad Engineering, Hala Group na Airline Equity Partners.

Shirika limewekeza kwenye mashirika nane; : Airberlin, Air Serbia, Air Seychelles, Alitalia, Jet Airways, Virgin Australia, na Swiss-based Darwin Airline, inayofanya kazi kama Etihad Regional.

Makao makuu yake yakiwa Abu Dhabi, Shirika la Etihad limetangaza malengo ya kuhudumia abiria 117 na mizigo Mashariki ya KATI, Afrika, Ulaya, Asia, Australia na Amerika. Shirika lina ndege za Airbus na Boing 122, ikiwa na zingine 204 ambazo bado zinatumika kwa sasa; ikiwamo 71 Boeing 787s, 25 Boeing 777Xs, 62 Airbus A350s and 10 Airbus A380s

 
Sisi huku tunachanganya mafuta ya ndege na ya taa kwenye tank moja, waanze kutoa na tuzo za uzembe angalao na sisi tupate tuzo vinginevyo hatutakuja kupata tuzo yoyote mpaka mwisho wa dunia
 
Namwona huyo Makamu wa Rais wa ETIHAD - Sajida Ismail yuko kizungu zaidi. Kumbe huku madongo kuinama akina FaizaFoxy ndio huwa wanajazwaga ujinga kuvalishwa kiajabu ajabu.
 
Sisi huku tunachanganya mafuta ya ndege na ya taa kwenye tank moja, waanze kutoa na tuzo za uzembe angalao na sisi tupate tuzo vinginevyo hatutakuja kupata tuzo yoyote mpaka mwisho wa dunia
Inasikitisha sana na inakatisha tamaa..!
 
Back
Top Bottom