BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Habari wakuu, naomba mwenye kujua haswa wapi anaweza kuni connect na mtu ambae anauza pete ya "immo ring". Its serious!! . Kama uko na ufaham ama kujua wap exactly ntaipata naomba uje PM tuongee zaidi. Asante.