sawa ndugu agiza kutoka JapanVipi unaiuza sababu kuwa hiyo 15ml. ni muhimu sana ili kukabiliana na matatizo yako uliyonayo au?maana hata ukiagiza leo kutoka Japan na namba D haifiki hiyo hela yako ikiwemo na kodi za TRA na registration.
Me pia hiyo bei imenishangazaVipi unaiuza sababu kuwa hiyo 15ml. ni muhimu sana ili kukabiliana na matatizo yako uliyonayo au?maana hata ukiagiza leo kutoka Japan na namba D haifiki hiyo hela yako ikiwemo na kodi za TRA na registration.
Umenikumbusha mbali mkuu, kuna bibi mmoja alipokuwa anataka kuuza kitu kwanza anaorodhesha shida zake zote halafu ndo anapanga bei.Vipi unaiuza sababu kuwa hiyo 15ml. ni muhimu sana ili kukabiliana na matatizo yako uliyonayo au?maana hata ukiagiza leo kutoka Japan na namba D haifiki hiyo hela yako ikiwemo na kodi za TRA na registration.
Number c kwa bei sio fair labda 10