Malambugi Andrew N
Member
- Oct 9, 2015
- 8
- 1
Wadau wa JF nani anautalamu wa kuanzisha website.
Na gharama zake ni kama shillingi ngapi hadi ikamilike
Na gharama zake ni kama shillingi ngapi hadi ikamilike
1. Ni vyema ukaweka "nyama" kidogo ya aina ya website ambayo unahitaji.Wadau wa JF nani anautalamu wa kuanzisha website.
2. Kipengele cha kwanza ndicho hutoa jibu la ghalama ya hio websiteNa gharama zake ni kama shillingi ngapi hadi ikamilike
Mkuu mi naweza. But please elezea kidogo aina ya website unayotaka.1. Ni vyema ukaweka "nyama" kidogo ya aina ya website ambayo unahitaji.
2. Kipengele cha kwanza ndicho hutoa jibu la ghalama ya hio website
Hivyo taarifa zaidi bado inahitajika.
Karibu
Wadau wa JF nani anautalamu wa kuanzisha website.
Na gharama zake ni kama shillingi ngapi hadi ikamilike