Car4Sale Toyota IST Mpya Inauzwa

ECES

Member
Sep 15, 2010
61
24
Imeingia bandarini 11/July/2016
Haijatumika Hapa nchini

Registration Year: 2003, Mileage 92000km, Displacement: 1300cc, Transmission: Automatic, Fuel: Petrol, Exterior Color: Silver.

Bei Tshs 13,000,000/-. (Maelewano yapo).

Piga 0714-910964 / 0755-376337

upload_2016-7-17_10-11-32.png

upload_2016-7-17_10-12-32.png

upload_2016-7-17_10-13-48.png

upload_2016-7-17_10-14-30.png

upload_2016-7-17_10-15-14.png
 
Gari emetengenezwa 2003 na imetembea KM90ELFU+
afu bado mpyaaaa.

Tanzania ya VIWANDA
Bila shaka wewe hujui na hujawahi nunua gari, asilimia 90 magari hapa bongo yametumika huko, na mapya ni ya serikali tu . ila taka 0 km ni wachache sana kwa watu binafsi wanaonunua.
 
Bila shaka wewe hujui na hujawahi nunua gari, asilimia 90 magari hapa bongo yametumika huko, na mapya ni ya serikali tu . ila taka 0 km ni wachache sana kwa watu binafsi wanaonunua.
Mkuu nafikiri mchangia mada alikuwa anataka kukusahihisha tu kwenye neno 'mpya'. Sote tunaelewa kuwa gari nyingi zinazoingia Tanzania ni 'used' (zilizotumika). Siyo wewe tu, watu wengi sana huwa wanayaita hayo magari yaliyotumika tena mengine kwa miaka zaidi ya kumi 'mapya'. Hapo ndipo penye utata. Hilo gari lina miaka 13 tangu litoke kiwandani, na kilomita zaidi ya 90,000. Ni vizuri kulinadi kama lilivyo.
 
Ist ya km 90 elf bei ya Soko ni mil 7 ,Njoo lumumba uzione.

Muuzaji usitake kupata faida mara mbili.

Nchi hii utawala wa jPM hiyo mil 13 inatoka wapi?

Watu wamegeuza hoteli kuwa hostel ,V8 zimepaki mbezi na masaki hazina mafuta,Vijisherehe vya kina sepetu na Diamond,sjui white party vimeota mbawa ,Nyumba Sinza na kijitonyama zimeshuka bei,Madem wamekimbiwa na waliokuwa wanawafuga,Watu wamepaki wanapanda mwendokasi wanakuambia ni mazoezi kumbe mrija unekatwa,sasa wewe ndo unakuja na Mil 13?

Until heaven meets earth!
 
Ni noma aisee!!!! Gari yenyewe kwanza ni old model halafu linaitwa jipya!! Mileage inasoma km 90,000 halafu ngoma bado inaitwa mpya!!! Na bei ni 13m.....only in Tanzania!!! Kwa milioni 9 hapo nitakubali njoo pm tufanye biashara!!
 
Jaman kila MTU ale kwa urefu wa kamba Yake na kuna watu wakiamua kununua gar hawataki kuhangaikia KM me kuna MTU alitoka Moro anataka Brevis nikamshaur tuagizie akasema Noo Nataka haraka me nikacheck na jamaa Yangu muuza magar tukamuzia kwa 14 Million badala Ya 12 au 13 nikapewa Laki 5 yangu saafi
 
Ist ya km 90 elf bei ya Soko ni mil 7 ,Njoo lumumba uzione.

Muuzaji usitake kupata faida mara mbili.

Nchi hii utawala wa jPM hiyo mil 13 inatoka wapi?

Watu wamegeuza hoteli kuwa hostel ,V8 zimepaki mbezi na masaki hazina mafuta,Vijisherehe vya kina sepetu na Diamond,sjui white party vimeota mbawa ,Nyumba Sinza na kijitonyama zimeshuka bei,Madem wamekimbiwa na waliokuwa wanawafuga,Watu wamepaki wanapanda mwendokasi wanakuambia ni mazoezi kumbe mrija unekatwa,sasa wewe ndo unakuja na Mil 13?

Until heaven meets earth!
Na foleni ya magari kwa dar imepungua sana
 
Alafu taa hzo head lamp mbona kama za rangi ya maji ya kunde zinawaka kweli hzo
 
Gari ime-expire kabisa halafu wewe unasema mpya na kuongezea kwamba haijatembea bongo kwani hapo ilipo ilipaa kama chopa?
Halafu mbona 13mil ni kubwa sana kwa gari hiyo ya mwaka 2003 tena haina haina usajiri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom