Upya wa gari si kuanzia na herufi D bali mwaka ambao gari imetengenezwa. Gari inaweza kuwa ina herufi C kwenye number plate ila ikawa ni ya mwaka 2013 wakati unakuta kuna ya mwaka 1998 na namba inaanza na D na zote ni gari ya aina moja, unadhani ipi bora?
Mpya au umepulizia rangi?. Wewe unauwezo wa kumiliki gari mpya wewe? au unaelewaje kuhusu upya wa gari?. Imetembea Kilometer ngapi mpaka sasa tangu huko ilikotoka?, ni ya mwaka gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.