SERVICE PROVIDED by First Security Co LTD
Our Security Officers are selected, trained and equipped for a variety of environments and situations, our policy is to use only long serving guards who...
MSAADA WANA JF...NINA SHIDA NA ZILE MASHINE ZA JUX BOX NA MASHINE ZA KUCHEZESHEA MICHEZO YA KUBAHATISHA MWENYE KUNISAIDIA TAFADHARI MAENEO ZINAPOPATIKANA
Katika pitapita yangu nimesikia kwamba matukio mengi ya kihalifu kama wizi kwa kiasi kikubwa walinzi wanashiriki aidha kwa kudhamiria au kutoa taarifa pasipo kujua.
Hivyo kwa makusudi nikaamua...
1. Kiwe na hati
2. Ukubwa kuanzia square metre 1200 au zaidi
3. (light industrial) Kinachofaa kwa matumizi ya kujenga factory kwa ajili ya furniture na metal drill works
4. Bei maelewano...
Habari za mchana wadau natumaini mpo poa... jaman naitaji king'amuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 0658038038... niko Dar
Habar wadau ,
Naomba kujua wapi nitaweza kupata huduma ya kudarizi/kutengeneza logo , ila sitaki za kuprint kwa rangi..
Na Pia naomba kujua gharama za kuprint logo 1 kwa shati
NB: nahitaji...
Ni gateway desktop computer..
nmeona niiuze kwa bei ya hasara tu maana nna shida na hela.
HDD 1000 GB (1TB) ,RAM GB 6 ,CORE i3,Touch screen, Wireless Keyboard n mouse.
nicheki now kwa...
halotel kwasasa ndo mtandao unaondena na maisha ya watanzania...vifurushi vyao vinaridhisha siyo vya kinyonyaji kama vya mitandao mingine...
kwale wenzangu na mimi tunaotumia mtandao wa vodacom...
Waungwana siku si nyingi nitakuwa safarini KASULU, naomba nifahamishwe guests house lodges za hazi ya Kati za gharama kati ya 15-25. Natanguliza shukrani.
Zamaulid