Vifaa vya ulinzi majumbani na ofisini.

Vifaa vya ulinzi majumbani na ofisini.

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Katika pitapita yangu nimesikia kwamba matukio mengi ya kihalifu kama wizi kwa kiasi kikubwa walinzi wanashiriki aidha kwa kudhamiria au kutoa taarifa pasipo kujua.
Hivyo kwa makusudi nikaamua kuanzisha biashara itakayokusaidia wewe kukupa taarifa ya nini kilichotokea endapo uhalifu unatokea.
Vifaa hivi vina uwezo wa kudhibiti kwa kutoa ishara ya tukio,tahadhari,kurekodi tukio. Ni vifaa vya kielectroniki ambavyo baada ya kufanya survey katika eneo iwe ofisi au nyumbani kwako utashauriwa nini cha kufanya.
Kwa maelezo zaidi ni PM.
 
Niko interested sana electronic gadgets kwa ajili ya usalama lakini naona bei ni kubwa.Nimeuliza kamera tatu na hard disc karibu laki nane bila monitor.
Hata hivyo nimevutiwa na gadget moja ambayo imekuwa ikirushwa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa na umbo la bulb ya taa lakini pia pakiwa na sehemu ya kuweka chip.Hii naona kama itanifaa zaidi.Je una maelezo ya ziada kuihusu?
 
Nashukuru kwa kuonyesha interest ya kuwa na security gadgets, ni kweli gharama ni kubwa wakati mwingine hasa kwa vifaa ambavyo vina interact na mtandao kama mobil phone lakini pia kwa kuanzia unaweza kuweka vifaa vya bei ya chini ambavyo havirekoti matukio bali vina uwezo wa kukushtua kwa sauti endapo kuna intruder katika perimeter husika.
Miundombinu yetu Tanzania haijakaa sawa ndio maana gharama bado ziko juu ikiwa utataka sophiscated security devices.
 
Nimenunua kufuli za alarm lakini sina imani sana nazo.Ninataka ku monitor kinachoendela katika mojawapo ya biashara yangu ndogo.Ni ya retail kwa hivyo mtu anaweza kuiba kila siku kiasi bila kuathiri mtaji hivyo nahitaji monitoring ya kila kinachoendelea mle.
 
Mmi najipanga nataka nifunge kwenye banda langu la kuku ili nijue kuk yupi anataga na yupi hatagi ili kupunguza wale wasiotaga. Nitakutafuta
 
Back
Top Bottom