harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,360 Jul 27, 2016 #1 Nyumba inauzwa self ya vyumba itatu ina uzio wa tofali na keti pamoja na parking maeneo ya sombetini Bei inaanzia 55m maelewano yapo.
Nyumba inauzwa self ya vyumba itatu ina uzio wa tofali na keti pamoja na parking maeneo ya sombetini Bei inaanzia 55m maelewano yapo.
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 Jul 27, 2016 #2 Bila picha mkuu na kwa bei hiyo utasubiri sana.
Kurutamjanja JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 396 Reaction score 377 Jul 27, 2016 #3 Sombetini ni kubwa sana, sombetini unayoizungumzia ww ni ya wapi? Njia ya ng'ombe.bandambili au wapi?
Sombetini ni kubwa sana, sombetini unayoizungumzia ww ni ya wapi? Njia ya ng'ombe.bandambili au wapi?
tikilili Member Joined Jul 16, 2016 Posts 41 Reaction score 10 Jul 27, 2016 #4 Tupe picha mkuu pengine tutashawishika
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,131 Reaction score 13,294 Jul 28, 2016 #5 Picha mkuu