Keyboard ya laptop gani mkuu na model ya Laptop pia utaje.Mimi nahitaji RAM ya Laptop pia ya 2GB na Keyboard yake, Keyboard itakuwa sh.ngapi Mkuu?
Nauza vifaa vya Toshiba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0687957579
Charger na betri bei gani mkuu...inahitajika immediately. Kila kimoja bei yake na viko wapi hapa darNauza vifaa vya Toshiba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0687957579