Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza wallets za ngozi,, za kike na kiume nipo dar,, ni wallet nzur za kisasa,, wahi sasa mawasiliano ni 0688121308,follow account yetu ya instagram Follow@bestlleatherwallets
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu, kwa wale wazoefu tafadhali naomba msaada wa maelekezo kuhusu utaratibu muhimu wa kufata katika ununuzi wa nyumba, Maana hali ilivyo kwasasa naweza nikaingia katika mikono ya matapeli...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ipo -Dar es salaam Tz Mahali-Kimara Baruti via morogoro road -------------------------------- Ukubwa wa Kiwanja - Nyaraka za umiliki Ina-mkataba wa mauziano Toka serikali za mtaa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Natafuta mwenye kuuza vitunguu swaumu vya China boksi ra 10kg sh ngap Msaada wakuu
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Nyumba ipo mapinga, nyuma ya secondary ya Baobab. Umeme na maji vipo karibu. Bei ni 12million negotiable. contact 0716548250.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar Wanajamv Nauza Dslr Yangu hiyo Canon D1200 kwa 1.2M Ni mpya bado ina chager na lens 2 km unavyoiona!!! kama unahitaji njoo whatsapp au nipigie 0712988560
0 Reactions
0 Replies
5K Views
nahitaji kutengenezewa website wakuu ni pm nikupe deal
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba imejengwa kisasa -> master bedroom 1(ft 12×10) ->single rooms 3(ft12×10) ->sitting room kubwa ya kisasa ->public toilet 1 ->uwanja 20×20 ->huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu ->Kuna nafas...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nyumba inauzwa ipo sinza vatican 30m kutoka barabara ya tandale 100m kutoka shekilango road 4 bedrooms 1 master Sitting room Eneo la parking 20*30 Price 160M. Kwa picha niPM namba yako nkuchek...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Habari wana janvi, Natafuta mteja wa kununua miti pamoja na ardhi Miti ipo Njombe aina ya PINE Ni heka 5 Bei 15,000,000 Miti ina miaka 6 Mawasiliano 0755238761
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Habari wanaJF, natoa koza ya kutengeneza website, mtu (wanafunzi ) yoyote ata kama ajasoma IT ila anajua kutumia komputa nakuakikshia ukimaliza koza hii unatengeneza website yako na kumiliki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana janvi, Natafuta wateja wa kununua miti pamoja na Ardhi. Miti ni aina ya PINE na ni heka 5 Inapatika mkoani Njombe Bei 15,000,000 kwa heka zote 5. Miti ina mwiaka sita (6 years)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Iphone 4s, good condition 270,000 maelewano yapo, piga 0682 066 161
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Msaada kwa anae fahamu viwanda tajwa vinapatikana wapi ndani ya Dar
0 Reactions
4 Replies
5K Views
SAA MPYA AINA YA SEIKO 5 NAIWEKA SOKONI Ni saa zaidi ya saa, haingii maji, unaweza kuogea kwenye swimming pool au baharini, ni saa inayodumu miaka na miaka, ni saa imara sana. BEI: Tshs. 350,000...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Nauza nexus 6p imetumika kidogo model H1512, 64 gb Bei 1,200,000
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Habari wadau, wasiliana nasi kupitia pawahost dot com kwa huduma zifuatazo:- 1. Computer system development 2. Android application development 3. website designing and development kwa Tsh...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Kimara - Mbezi - Ubungo . Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wandugu! Kuna yeyote anajua wapi naweza kukodisha marine board kwa bei nzuri. Na wanakodisha kwa bei gani..? Nataka kama sqm 100 hivi. Pia Mirunda kama ipo pia naomba contact nayo ningependelea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ukubwa ni 20 kwa 20 kwa kila kimoja bei ni mil 10 kwa kila kimoja maongezi yapo kiwanja kipo tambalale vyote vipo sehemu moja...Vinaangaliana na barabara ya mtaa.....Umeme upo hapohapo karibu na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom