Nahitaji mtungi mdogo wa gesi kupikia,

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,024
2,299
Nipo Dar kama una mtungi mdogo wa gesi wa kilo 6 ule wa kupikia na kama huutumii niuzie, bei makubaliano PM plz
 
Mbona madukani ukiwa na gesi yake na bunner yake inapatikana kwa sh 60,000 tu?, jamani kila kitu kitonga?
 
Mkuu hata humu pia vipo! Kama huna unatulia tu! Hujawahi kuona watu humu wanatangaza? Ndo mana tupo humu
 
Back
Top Bottom