halotel kwasasa ndo mtandao unaondena na maisha ya watanzania...vifurushi vyao vinaridhisha siyo vya kinyonyaji kama vya mitandao mingine...
kwale wenzangu na mimi tunaotumia mtandao wa vodacom tujitathimini upya kwani nahisi kama tunanyonywa zaidi.kwa ufupi vodacom ni ile ile..tumeipenda wenyewe acha tuisome namba...ila mimi nahamia Halotel kuanzia leo