Natafuta guest/lodge Kasulu

Natafuta guest/lodge Kasulu

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,026
Reaction score
16,134
Waungwana siku si nyingi nitakuwa safarini KASULU, naomba nifahamishwe guests house lodges za hazi ya Kati za gharama kati ya 15-25. Natanguliza shukrani.


Zamaulid
 
Ziko nyingi mkuu, kwa 25,000 unapata sehemu nzuri na salama kulala.
 
Majina kama unayakumbuka tafadhari

Mkuu majina siyakumbuki sana lakini pale kuna nyumba nyingi za kulala wageni na nzuri, ukimwomba dreva taksi yeyote atakupeleka mahali pazuri tu.

Kuna Kasulu Motel iko pembeni kidogo ya mji, ni pazuri sana.
 
Back
Top Bottom