Msaada kutuma mzigo Katavi

Msaada kutuma mzigo Katavi

Kama ni mzigo wa kawaida nenda Ubungo ulizia basi la Majinjah ongea nao ambapo wao wanafika mpaka Sumbawanga siku hiyo hiyo halafu wao watautuma Katavi/Mpanda kesho yake ambapo ni rahisi zaidi kuliko njia ya Tabora au Kigoma.
 
umejibiwa vizur cna nyongeza

mfipa asili
 
Back
Top Bottom