Pata huduma bure ya kuweka nota za nyimbo kidijitali upate urahisi wa kuzisambaza popote pale.
Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe kwenda: digitalised@yahoo.com
Nauza mayai ya kuku wa kienyeji. Ni mazuri kwa kula na kutotoleshea vifaranga. Kwani kuna majogoo yanayowapanda matetea muda wote.
Nipo mbeya mjini. Ukiwa unahitaji ni PM.
Habari za leo. Nauza ndege aina ya kanga. Wapo aina mbili weupe na wale wa kawaida. Bado mwezi mmoja waanze kutaga. Wana afya njema sana na wametunzwa vizuri. Bei ni sh 25,000/= kwa ndege mmoja...
Government Surveyed Plot inauzwa eneo la Mwongozo lililopo KM 20 to 25 (sina uhakika umbali haizidi hapo) kutoka Ferry Kigamboni. Ukubwa wa Plot husika ni mita za mraba 1,200. Lina nyaraka zote...
Habari Wadau,
Nauza Blogger Template niliyoitengeneza Mimi mwenyewe Kwa ajili ya online Shopping,
Template hii nimeitengeneza kwa SimpleCart ikisupport Fedha za Kitanzania,pia inatuma invoice bure...
Ina vyumba vine, viatu vya kulala cha nne kinatumika kama ‘’study room’’. Ni” open plan kitchen design” , mabati ya hiyo nyumba-ALAF, MBAO Saho Hill, bawaba, vitasa vyote mpaka taa za subureni...
Habari wana JF wenzangu nataka kuanzisha biashara ya kuuza na kusambaza unga wa udaga lakini shida yangu ni mifuko ya kupackia sijui wapi naweza kuipata hiyo mifuko.
Kwa wenye ndoa tu
Juice hii imetengenezwa kwa kutumia mti uitwao *mundende* toka nchini congo, na mbegu za matunda kama tikiti, kiwi, mbegu za mbogamboga, pilipili manga, asali ya nyuki wadogo...
Bidhaa-Bati za msouth,kawaida mkunjo na vigae(natural stone coated)
Upana -107cm,97cm,110cm na 87cm
Urefu -kuanzia meter moja mpka utakao wewe
Gauge -28 na 30
Material -Alozinc
Tunakuonesha...
Wakuu ninaomba msaada wa maelekezo, ninatamani sana kuanza biashara ya madini, hii ikimaanisha kuyanunua na kuyauza hata nje ya nchi ikibidi. Ninajua kibali ni kitu cha muhimu sana katika biashara...
FOR
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ DATE LISTED: 1 AUGUST 2016
ASKING PRICE: TSH:500,000
laki 5
TERMS OF PAYMENT: 6
MONTHS ( miezi 6) + KODI YA MWEZI MMOJA YA DALALI
DIRECTION...
Habari zenu wadau wa jf
Ninahitaji fundi anayetengeneza vitanda vya chuma aliyeko Tanga mjini.
Kama atapatikana nahitaji kitanda chenye size 5*6 iwe design nzuri.
Issue ya malipo tutaongea kwa...
Habari naitwa Msua nipo mwanza natafta MTU amna kampuni inayoweza kufanya kazi ya kudesign website kwa utaalamu wa hali ya juuu pia awe na uwezo wa kutumia php database kwa kifupi ni hayo kwa...