Nyumba inauzwa MbweniJKT

Nyumba inauzwa MbweniJKT

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
365
IMG_6337.JPG
IMG_6316.JPG
IMG_6338.JPG
IMG_6380.JPG
Ina vyumba vine, viatu vya kulala cha nne kinatumika kama ‘’study room’’. Ni” open plan kitchen design” , mabati ya hiyo nyumba-ALAF, MBAO Saho Hill, bawaba, vitasa vyote mpaka taa za subureni, dinning na bomba zote kutoka UK, tiles-South Africa, tiles za master bathroom, choo na bafu la wageni-SPAIN. Mtu yoyote akiinunua hiyo nyumba hatakuwa na gharama za matengenezo kwa miaka mingi. Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 1100 na kina hati miliki ya ardhi “title deed”. Corner plot. Bei 300mil. Kuiona wasiliana nami kupitia namba 0784225000.
 
Mhhh haya changamkieni tenda wanunuzi!! Ila mkuu ingekuwa miaka kabla ya 2016 ungeiuza ila kwa sasa inabidi ukae tena na mwenye nyumba mpange bei upya. Parefu hapo mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom