Nauza ndege aina ya kanga

Nauza ndege aina ya kanga

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,749
Habari za leo. Nauza ndege aina ya kanga. Wapo aina mbili weupe na wale wa kawaida. Bado mwezi mmoja waanze kutaga. Wana afya njema sana na wametunzwa vizuri. Bei ni sh 25,000/= kwa ndege mmoja. Nawauza kwa sababu nilipo sina eneo kubwa la kutosha kwa kuwa ni wengi.
1469532597947.jpg
1469532740975.jpg
 
Shida ya hawa ndege hawatakag kutagia ndani, ila nitakutafuta nahitaji dume na jike hao weupe, bahati mbaya hujasema upo wap??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Loh,nilipoona ndege nilijua zile za Abiria nilitaka nikuunganishe fasta na Baba J.
 
Habari za leo. Nauza ndege aina ya kanga. Wapo aina mbili weupe na wale wa kawaida. Bado mwezi mmoja waanze kutaga. Wana afya njema sana na wametunzwa vizuri. Bei ni sh 25,000/= kwa ndege mmoja. Nawauza kwa sababu nilipo sina eneo kubwa la kutosha kwa kuwa ni wengi. View attachment 371205View attachment 371206
Labda tupe elimu mbona nasikia ni wagum kuzaliana!! Wanataka wakatage porini!! Inakuaje apo ? Umewezaje kuwazalisha wote hao!!
 
Sio wagumu kuzaliana, unapaswa kuwalisha chakula sahihi. Na wana msimu wa utagaji. Sio kama kuku
 
Mgaya sina. Nakutahadharisha usinunue mayai kwa sasa. Sio msimu wao wa kutaga. Mayai ya uhakika tafuta mwezi wa tisa au pata vifaranga wadogo 0715077964 wasiliana na huyo kama uko dar. Fika uone project yake
 
Mgaya sina. Nakutahadharisha usinunue mayai kwa sasa. Sio msimu wao wa kutaga. Mayai ya uhakika tafuta mwezi wa tisa au pata vifaranga wadogo 0715077964 wasiliana na huyo kama uko dar. Fika uone project yake
OK! Huyo ana vifaranga au wewe ndo unavyo?
 
Back
Top Bottom