Blogger Template kwa ajili ya Online Store.

Blogger Template kwa ajili ya Online Store.

regnaldshirima

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
124
Reaction score
78
Habari Wadau,
Nauza Blogger Template niliyoitengeneza Mimi mwenyewe Kwa ajili ya online Shopping,
Template hii nimeitengeneza kwa SimpleCart ikisupport Fedha za Kitanzania,pia inatuma invoice bure unlimeted.iwapo mnuaji atachagua bidhaa atazohitaji mfumo wake utazikusanya bidhaa zote Kisha Kufanya Total. Mteja ataweza Process invoice kwa kujaza taarifa zake kisha accept.ndani ya sekunde kadha mteja atapokea Invoice Katika email yake na Muuzaji na atapokea invoice.

Ipo fasta zaidi kutokana na Mpangilio mzuri,
image Compression 99%
Responsive 100%
Mobile Performace: 79%;
Pc Performance: 89%;
Passing Rule: 6 all.
Mobile User Experiance: 99%.
Desktop user experiance 100%.
Ni simpo kupost kwa kujaza pekeee.
Tazama Picha zake mwonekano wake
capture-20160801-064709.png

Product display
capture-20160801-064800.png

Shooping cart
capture-20160801-064912.png

invoice form
capture-20160801-065003.png

capture-20160801-065316.png

Muonekano wa email invoice
capture-20160801-065720.png
capture-20160801-065808.png




capture-20160801-065852.png



huo ndio Muonekano wa Template yenyewe.
Bei ni 50,000/= included support.
Jumlasupply blogspto com
0758489123
 
Back
Top Bottom